Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kekeo akisha taga mayai huondoka na kisha
mayai hayo huatamiwa na ndege mwenye kiota
bila kujua kuwa mayai si yake kwa muda wa
siku 12-17 lakini kwa kawaida huwa ni siku 12
kabla ya mayai ya ndege mwenye kiota
kutotolewa.
mayai hayo huatamiwa na ndege mwenye kiota
bila kujua kuwa mayai si yake kwa muda wa
siku 12-17 lakini kwa kawaida huwa ni siku 12
kabla ya mayai ya ndege mwenye kiota
kutotolewa.