Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
KumekuchaPata malike weka likes
KumekuchaPata malike weka likes
Lucifer!Lucy...
Utuombee barakaAsante nishaamka najiandaa kwenda chachi
YupKumekucha
Penalty toa likes 2k kwa leo tuNipo mkuu Jana nililala mapema
Dona ndiyo lenye afyaNi dona tu kwa utumbo wa bata
UsijaliUtuombee baraka
Uchanganye na unga wa mihogoDona ndiyo lenye afya
Aanza kwa ku like page nzima khalafu post. It is the right thing to support comrades in armsUsiposti bila kuweka likes
Uzi upendo
Stress free
Nyuki wako kazini
That my Queen true indeed she is goddess ISISSema Sis. Rekodi nyingine ambayo haitakaa ivunjwe ni hii hapa:
Goddess ISIS mpaka sasa ana likes approximately 135,000. Ukigawanya hizi likes na siku 30 tangu uzi huu uanzishwe ina maana kila siku alikuwa anapata likes 4, 500. Yes, likes elfu nne na mia tano kwa siku kwa siku thelathini mfululizo.
Record hii ikivunjwa haki ya nani aliyeivunja hata kama ikitokea akamuoa mmojawapo wa dada zangu humu (ninao sita), sitamtoza mahari!
Again, congratulations Goddess ISIS [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Liking your post tooGood morning my dear
AMUN RAThat my Queen true indeed she is goddess ISIS
Lazima umegonga 5k hivi hadi leo9 hrs ago nagonga likes
To you tooMorning to you
Bro huu Uzi nimefahamiana na watu wengi mpka deal with business nowUkiangalia kwenye uzi huu unaweza ukaona kama ni member wageni kutokana na ushiriki wetu kuwa hafifu hapo kabla,wapo watu wana miaka 4 hadi 5 lakini comments hazifiki hata 50,na zote kashushuliwa.Wengi tulipoteza ujasiri wa Ku comment kwa hofu ya kashushuliwa na wajuaji.Lakini kwenye uzi wetu tumejuana hata tukikutana ugenini tunapeana like tu.
Post sent using JamiiForums mobile app
EndelezaHah 150k imenipita!????