myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mafanikio hayaji kwa maombi pekee β yanahitaji nidhamu.Hata dua huhitaji juhudi. Simama, fanya kazi, rudia, fanya tena, kisha omba ukiwa umechoka.
SawasawaUkitoka kwenye maisha yao, wataendelea kama hujawahi kuwepo.Usijifanye muhimu kwa mtu asiyeona thamani yako. Kujithamini ni hatua ya kwanza ya uponyaji.
NakubalianaJapokuwa tunapambana na maisha, kuna wakati tunapaswa kujipongeza maana kila hatua ni ushindi unaostahili heshima.
UjumbeJapokuwa tunapambana na maisha, kuna wakati tunapaswa kujipongeza maana kila hatua ni ushindi unaostahili heshima.
SawaChelewa ukiwa na lengo bora kuliko kukimbia bila mwelekeo mafanikio si mbio ni mwendo wa uhakika na maamuzi sahihi
UjumbeMambo 5 ya ku-Acha :
1. Acha kushindana.
2. Acha kulalamika.
3. Acha kuumiza wengine.
4. Acha kuigiza maisha.
5. Acha kuishi kwa hofu ya kukosolewa.
Nakubaliana na weweMambo 5 Kuhusu UKWELI:
1. Ukisema unaumiza.
2. Ukinyamaza wanakushuku.
3. Ukiuficha unateseka.
4. Ukiusema hawakuamini.
5. Ukikubali, unakuua
SawasawaMambo 5 Kuhusu UKWELI:
1. Ukisema unaumiza.
2. Ukinyamaza wanakushuku.
3. Ukiuficha unateseka.
4. Ukiusema hawakuamini.
5. Ukikubali, unakuua
SawaMambo 5 ya ku-Acha :
1. Acha kushindana.
2. Acha kulalamika.
3. Acha kuumiza wengine.
4. Acha kuigiza maisha.
5. Acha kuishi kwa hofu ya kukosolewa.
βοΈβοΈMambo 5 Kuhusu UKWELI:
1. Ukisema unaumiza.
2. Ukinyamaza wanakushuku.
3. Ukiuficha unateseka.
4. Ukiusema hawakuamini.
5. Ukikubali, unakuua.
β οΈβ οΈMambo 5 Kuhusu UKWELI:
1. Ukisema unaumiza.
2. Ukinyamaza wanakushuku.
3. Ukiuficha unateseka.
4. Ukiusema hawakuamini.
5. Ukikubali, unakuua
πππChelewa ukiwa na lengo bora kuliko kukimbia bila mwelekeo mafanikio si mbio ni mwendo wa uhakika na maamuzi sahihi