Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ishi ukisimamia misimamo yako na Yale unayo yaamini kua ni sahihi , usiendeshwe na wakati maana wakati hauna msimamo kila siku unabadilika hivyo ukifuatana nao utaishia kukupoteza na kukuchanganya usahau miiko yako
 
"Mara nyingi chuki dhidi yetu hupaliliwa na tambo na majivuno yetu hadharani kisha tunalaumu watu na kuwaita 'haters'. Tuwe wanyenyekevu." ~Togolani Mavura.
 
muhimu kujifunza kwa yaliyopita lakini sio kila matunda ya baadae yatategemea mafunzo yaliyopita... mengine yatakuwa ni matokeo tu ya ubunifu, maono na fikra mpya zisizo na uhusiano na historia
 
Back
Top Bottom