Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
muhimu kujifunza kwa yaliyopita lakini sio kila matunda ya baadae yatategemea mafunzo yaliyopita... mengine yatakuwa ni matokeo tu ya ubunifu, maono na fikra mpya zisizo na uhusiano na historia