myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππKuna wakati moyo unakua na maumivu makali mpaka unashindwa kuomba. Mtu anapokwambia napitia wakati mgumu niombee jua fika amefika kwenye level ya juu sana anahitaji msaada.
Kuna wakati moyo unakua na maumivu makali mpaka unashindwa kuomba. Mtu anapokwambia napitia wakati mgumu niombee jua fika amefika kwenye level ya juu sana anahitaji msaada.
π―π―Kwenye Maisha Kuna Vitu Vitatu Muhimu ;,
1 Bahati
2 Kipaji
3 Elimu
Kosa Namba 2 Na Namba 3 , Ila Namba 1 Uwe Nayo Utafurahia Sana Maisha
Ni kweli βοΈKwenye Maisha Kuna Vitu Vitatu Muhimu ;,
1 Bahati
2 Kipaji
3 Elimu
Kosa Namba 2 Na Namba 3 , Ila Namba 1 Uwe Nayo Utafurahia Sana Maisha
ππWatu wengi wanafanya kazi ambazo hawazipendi. Maradhi, umasikini, ulemavu, ajali, hakuna mtu anavipenda ila ndio utaratibu wa maisha.
SawaUsiku ni shairi la nyota na utulivu, mahali ambapo ndoto hupata mabawa na roho hupumzika. Lala ukiwa na matumaini, kesho ni hadithi mpya
β οΈβ οΈUsiku ni shairi la nyota na utulivu, mahali ambapo ndoto hupata mabawa na roho hupumzika. Lala ukiwa na matumaini, kesho ni hadithi mpya
SawasawaKushinda au kushindwa, shida au raha, kupata au kukosa kila kitu kina tokea kwa sababu. Usi poteze tumaini endelea kuamini siku yako ipo.
ππWatu wengi wanafanya kazi ambazo hawazipendi. Maradhi, umasikini, ulemavu, ajali, hakuna mtu anavipenda ila ndio utaratibu wa maisha.
Muhimu Ujumbe huuKuna mambo matatu tu unaweza kutegemea daima bila kukukatisha tamaa, "Afya yako", "mfuko wako" juu ya yote "Mungu wako"
Ili ufanikiwe, jiwekee malengo ya wazi, jifunze ujuzi mpya, na uwe na nidhamu ya kufanya kazi kila siku. Tafuta watu wa kukushauri na usikate tamaa wakati wa changamoto. Mafanikio yanahitaji uvumilivu na juhudi za mara kwa mara
Kusamehe si kusahau, bali ni kukumbuka bila maumivu, bila chuki, na bila kutaka kulipiza kisasi. Ni zawadi unayoipa nafsi yako kwa ajili ya amani na uhuru wa moyo.