myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hahahaaaa....
Kweli hiliUkubwa wa Vita ya mtu ndio ukubwa wa hatma ya Maisha yake".
Bidii ni uwezo wa kushinda uzembe na uvivu.
Hakuna Siri unatakiwa kuitunza kwa unyenyekevu Mkubwa sana Kama ile ambayo imeshikilia Misingi ya Riziki zako, ni binadamu wachache wanapenda kuona ukipata Riziki.
Hakuna Siri unatakiwa kuitunza kwa unyenyekevu Mkubwa sana Kama ile ambayo imeshikilia Misingi ya Riziki zako, ni binadamu wachache wanapenda kuona ukipata Riziki.
SawaMaisha yako yatakuwa mepesi sana, ikiwa Tu, Utaruhusu kila mtu akuelewe jinsi anavyotaka yeye.
πππHakuna Tuzo ya Utesekaji Bora,
Vaa Pendeza, Kula vizuri, Hakikisha Unanukia!
Linda, Tunza, Jali na Thamini Afya Yako!
Tubarikiwe na Leo!
Hakuna Tuzo ya Utesekaji Bora,
Vaa Pendeza, Kula vizuri, Hakikisha Unanukia!
Linda, Tunza, Jali na Thamini Afya Yako!
Tubarikiwe na Leo!
Maisha yako yatakuwa mepesi sana, ikiwa Tu, Utaruhusu kila mtu akuelewe jinsi anavyotaka yeye.
KweliKila changamoto inayokuumiza inakufundisha, kuwa bora ya ulivyokua.
Hakikisha unachagua marafiki bora wa kuambatana nao katika maisha yako