myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaTafuta nafasi onyesha ulichonacho, kipe thamani na hapo utaona watu wanatoa pesa mifukoni mwao wanakulipa
Kuwa na vyeti vyenye alama nzuri pekee haitoshi kukufanya uishi maisha ya ndoto zako ili ndoto zako ziwe kweli inahitajika akili ya kuzaliwa elimu ya darasani kujituma kujiongeza nidhamu na utu Uwezekano wa kutimiza ndoto zako upo KAZA
ππKujua kuishi na watu ni zaidi ya akili, ni utulivu, msamaha, na kujua wakati wa kukaa kimya !!!
Mtu anae Jitambua na anae Jiheshimu haoni haja ya kumdharau yoyote
Kuwa na vyeti vyenye alama nzuri pekee haitoshi kukufanya uishi maisha ya ndoto zako ili ndoto zako ziwe kweli inahitajika akili ya kuzaliwa elimu ya darasani kujituma kujiongeza nidhamu na utu Uwezekano wa kutimiza ndoto zako upo KAZA
Kujua kuishi na watu ni zaidi ya akili, ni utulivu, msamaha, na kujua wakati wa kukaa kimya !!!
Maumivu huondoka yakiisha kukufunza jamboβ hivyo kila changamoto ina fursa na funzo ndani yako. Just struggle and wins
Maumivu huondoka yakiisha kukufunza jamboβ hivyo kila changamoto ina fursa na funzo ndani yako. Just struggle and wins
Kuwa na vyeti vyenye alama nzuri pekee haitoshi kukufanya uishi maisha ya ndoto zako ili ndoto zako ziwe kweli inahitajika akili ya kuzaliwa elimu ya darasani kujituma kujiongeza nidhamu na utu Uwezekano wa kutimiza ndoto zako upo KAZA
AiseeIMAGINE unashindwa kufanya mambo yako, kwa kuogopa watu ambao hawajui hata jana ulikula nini.
Kufaulu katika maisha hutegemea zaidi juhudi yako binafsi, nidhamu na malengo ulojiwekea. Lakini pia itasaidia kama jamii itakuwa tayari kukuwezesha na kuwekeza kwako.

KUFAULU MAISHAKufaulu katika maisha hutegemea zaidi juhudi yako binafsi, nidhamu na malengo ulojiwekea. Lakini pia itasaidia kama jamii itakuwa tayari kukuwezesha na kuwekeza kwako.