Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20250819-070217_Web Browser.png
 
matajiri wengi hawasemi siri za utajiri wao zaidi ya kukwambia fanya kazi kwa bidii. Na wewe jifunze kuficha siri zako! Aisee... kuna watu wanavinywa vibaya. Kumwambia mtu mipango yako kabla ya kutenda ni KUTOA SIRI ZAKO! Hii imewagharimu watu wengi sana.
 
Back
Top Bottom