Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
uoga unaendelea KUUA ndoto za watu wengi kwenye maisha kuliko kitu kingine chochote kile. Uoga unatesa sana; hasa ule uoga wa watu “watanionaje”; uoga wa watu “watanisemaje”; uoga wa watu “watanicheka”. Hivi siku ukilala njaa hao unaowaogopa watakuletea chakula?