myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Watu hawana siri siku hizi, ukiwaomba msaada wanaenda kukutangaza. Pambana upate vyako utaishi kwa furaha.
βοΈβοΈβοΈKukubalika sana sio kipimo cha kukufanya ujione kuwa huna kasoro ni vile ndani ya hizo kasoro zako zipo timilifu zilizovutia ukubalike hivyo punguza majivuno na dharau.
β οΈβ οΈβ οΈAdui mkubwa wa Mwanadamu ni Muda. Haumsubiri mtu yeyote, haijalishi jambo lako lina umuhimu kiasi gani.
ππLaiti Mwanadamu angejua kuwa Kifo hakihitaji process bali ni kitu cha dakika moja tu, basi angehakikisha kila dakika moja ya maisha yake hapa Duniani anaitumia kutenda Mema".
ππLaiti Mwanadamu angejua kuwa Kifo hakihitaji process bali ni kitu cha dakika moja tu, basi angehakikisha kila dakika moja ya maisha yake hapa Duniani anaitumia kutenda Mema".
βοΈβοΈWalisema ukubwa dawa halafu wakasema pia jalala. Tunachanganywa changanywa ndo changanyikeni hiyo.
Walisema ukubwa dawa halafu wakasema pia jalala. Tunachanganywa changanywa ndo changanyikeni hiyo.
Kukubalika sana sio kipimo cha kukufanya ujione kuwa huna kasoro ni vile ndani ya hizo kasoro zako zipo timilifu zilizovutia ukubalike hivyo punguza majivuno na dharau.
Nakubaliana na hiliKatika maisha usije kurudi sehemu ambayo ulipoteza tabasamu lako.
Hili kweli kabisaPesa inabadilisha sana Tabia ya Mtu, Ndiyo maana ATM ukifanya Muamala wanaanza Kukupa Kadi Ndio wanakupa Hela yako, Walijua Kabisa ikianza kutoka Pesa kuna Wapuuzi wataacha Kadi hapo Hapo
Kudharauliwa kwako leo isiwe sababu ya wewe kusahau Ndoto zako, Dharau zao Kwako kesho Zinaweza kuwa ni Moja ya kielelezo Kikubwa sana cha Ushindi na Mafanikio Yako
βοΈβοΈβοΈKatika maisha usije kurudi sehemu ambayo ulipoteza tabasamu lako.