SIKIA, siri ndio kipimo cha ukomavu wa fikra pevu. Ili uwe mtunza siri mzuri basi ni lazima uwe na uwezo wa kutumia AKILI YAKO vizuri. Mtu asiyeweza kutunza siri hana akili sawa sawa. Siri hufanya watu watawalike; waogopwe, na wawe watumwa.
TUNZA SIRI ZAKO!