Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ukijipata kisawa sawa katika safari yako ya maisha, watu wa kwanza watakao kupinga ni watu wako wa karibu kama ndugu na marafiki. Hii ni sawa na pale utakapofungua biashara halafu ukategemea watu wanaokujua ndio wawe wateja wako, nakwambia utasubiri sana!
 
wale watu uliowategemea ndio husaidiana kukuponda na kukukatisha tamaa. Ila siku ukifanikiwa tu, ndio hutaka wawe wa kwanza kufaidi matunda ya juhudi zako kuliko hata wale waliokupa support yao wote!
 
uongo ndio sabuni ya kutakatisha ukweli katika ulimwengu wa leo. Watu wa leo bila kusema uongo ni kama vile hawajaongea. Kuna mtu bila kudanganya asingeolewa na mwingine asingeoa. Watu wamekubali kuwa sehemu ya uongo kiasi kwamba wakisema ukweli wanajistukia!
 
Matatizo ni sehemu ya maisha yetu, huwezi kuyakwepa hata kidogo lakini unaweza kuyapuuza tu na kuyachukulia kama mlango wa FURSA. Sikia, matatizo mengine yanahitaji UKAE KIMYA TU halafu uone yatakufanya nini kwenye maisha haya.
 
Thamani ya kuishi maisha yenye maono inapatikana kwa kujua vyema KUSUDI LAKO la wewe kuja hapa duniani. Ukilijua kusudi lako katika utimilifu wake utauelewa pia ukweli wa maisha ambao hausemwi wala kufundishwa mashuleni, vyuoni, na katika nyumba za ibada.
 
Back
Top Bottom