Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Thamani ya kuishi maisha yenye maono inapatikana kwa kujua vyema KUSUDI LAKO la wewe kuja hapa duniani. Ukilijua kusudi lako katika utimilifu wake utauelewa pia ukweli wa maisha ambao hausemwi wala kufundishwa mashuleni, vyuoni, na katika nyumba za ibada.
 
maisha hayataki uwe mtu wa kuchukulia mambo serious kila wakati. Wakati mwingine yaulize MATATIZO yako maswali MAGUMU tena huku UKIYECHEKA kweli kweli. Usiwe mtu wa kutingishwa tingishwa na maoni ya watu kuhusu maisha yako. Jifunze kuishi na WEWE!
 
kama kweli una mpango wa kutoboa kimaisha kaa na watu wanaoongelea NDOTO KUBWA za kuzitimiza hata kama ukiwaangalia unaona hawana kitu mfukoni! Ni lazima tu wataziprint hizo ndoto zao kubwa katika uhalisia.
 
Ukweli ni kuwa asikudanganye mtu bhana, ukiishi bila maono ni sawa kukubali kuishi kwa MIUJIZA TU. Sikia, wewe jiamini! Amini katika maono yako! Ishi maisha yenye kusudi. Na kikubwa muombe sana Mungu akupe macho ya rohoni ili uone uzuri wa kitu kilichopo mbele yako.
 
Back
Top Bottom