Ukweli ni kuwa asikudanganye mtu bhana, ukiishi bila maono ni sawa kukubali kuishi kwa MIUJIZA TU. Sikia, wewe jiamini! Amini katika maono yako! Ishi maisha yenye kusudi. Na kikubwa muombe sana Mungu akupe macho ya rohoni ili uone uzuri wa kitu kilichopo mbele yako.