myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️usipokuwa makini basi mdomo unaweza kuponza kichwa. Kabla hujaamua kufungua mdomo wako hebu jiulize; Hiki nachotaka kusema kina umuhimu? Kina ukweli? Lazima nikisema? Kitabomoa ama kitajenga? Tafakari sana juu ya unachotaka kusema kabla ya kukisema.
upatapo maono ya jambo fulani, ukaanza utekelezaji wake akilini huwa kuna NGUVU YA UUMBAJI ambayo hufungua kile unachohitaji kufanikisha maono yako. Kikubwa weka imani, bidii, na akili mtu wangu.
Sawaupatapo maono ya jambo fulani, ukaanza utekelezaji wake akilini huwa kuna NGUVU YA UUMBAJI ambayo hufungua kile unachohitaji kufanikisha maono yako. Kikubwa weka imani, bidii, na akili mtu wangu.
upatapo maono ya jambo fulani, ukaanza utekelezaji wake akilini huwa kuna NGUVU YA UUMBAJI ambayo hufungua kile unachohitaji kufanikisha maono yako. Kikubwa weka imani, bidii, na akili mtu wangu.
👍👍👍usikubali kujidanganya kuwa unaweza kuwa na maarifa ya KIPEKEE na UBORA wenye utofauti kama hutakuwa tayari kulipa GHARAMA ya kuachana na MARAFIKI MIZIGO kwenye safari ya maisha yako!
usikubali kujidanganya kuwa unaweza kuwa na maarifa ya KIPEKEE na UBORA wenye utofauti kama hutakuwa tayari kulipa GHARAMA ya kuachana na MARAFIKI MIZIGO kwenye safari ya maisha yako!
thamani yako ni sawa na sabuni yenye uwezo wa kusafisha na kuondoa takataka zote za akilini na rohoni, thamani yako ni tamu kama mlio wa ATM wakati inahesabu hela. Tafuta thamani yako ili usijenyang’anywa watoto wako uzeeni. Ukaambiwa wewe siyo baba yao. Ohooo!

Saaawaaa..kuna maisha ya kuishi kwa makusudi na maisha ya kuishi kwa kubahatisha. Ukitaka kulitimiza kusudi lako katika kila hatua ya maisha yako, basi ni vyema ukajifunza kuishi kwa makusudi. Ukweli ni kuwa ni lazima uyape maisha yako maana ndipo uache kujitahidi kuishi.
hekima unayopaswa kuijua ni kuwa sio kila ukweli ni mzuri na wa kusemwa, chagua vyema vya kusema kwa kuunganisha ubongo wako na akili yako! Halafu yule unayemuona HAFAI na ananuka kama kinyesi sisi wengine tunamuona ni MBOLEA bora ya kurutubisha ardhi iliyochoka.

ukiwa mbeba maono sio kila mtu atafaa kuwa rafiki yako, ukiwa mbeba maono sio kila kitu cha kuangalia na kusikiliza na ukiwa mbeba maono hupaswi kujali kitu unachofanyiwa na watu wengine. Maono yatakufanya USIKIE badala ya KUSIKILIZA!