Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Penalty Goal! Arsenal 5-0 Leeds United (Viktor Gyökeres)

1756121729308.gif
 
uoga unaendelea KUUA ndoto za watu wengi kwenye maisha kuliko kitu kingine chochote kile. Uoga unatesa sana; hasa ule uoga wa watu “watanionaje”; uoga wa watu “watanisemaje”; uoga wa watu “watanicheka”. Hivi siku ukilala njaa hao unaowaogopa watakuletea chakula?
Kweli kabisa hili
 
adui wa kwanza katika maisha yako unayepaswa kumkimbia ni SIFA. Ukipenda sifa unakuwa mjinga. Ukipenda sifa unakuwa kama kipofu anayeoona. Sifa ina tabia ya kuifunga akili na kubaki kama punguani. Siku akili zikirudi unagundua kuwa ulikuwa MJINGA ASIYE NA AKILI!
✔️✔️
 
uoga unaendelea KUUA ndoto za watu wengi kwenye maisha kuliko kitu kingine chochote kile. Uoga unatesa sana; hasa ule uoga wa watu “watanionaje”; uoga wa watu “watanisemaje”; uoga wa watu “watanicheka”. Hivi siku ukilala njaa hao unaowaogopa watakuletea chakula?
📌📌
 
Back
Top Bottom