moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Sawasawathamani yako ni sawa na sabuni yenye uwezo wa kusafisha na kuondoa takataka zote za akilini na rohoni, thamani yako ni tamu kama mlio wa ATM wakati inahesabu hela. Tafuta thamani yako ili usijenyang’anywa watoto wako uzeeni. Ukaambiwa wewe siyo baba yao. Ohooo!
ulikuja hapa duniani peke yako na utaondoka peke yako, hivyo litafute kusudi lako kupitia maono yako. Hakuna atayekusaidia kuyaelewa vyema maono yako zaidi yako. Huwezi kuwawekea watu wengine presha ili wakusaidie kuyatimiza maono yako. Hapo it's you versus you!
Kweli kabisa“Maisha bado yana thamani sana, usimalize safari yako kwa makosa ya jana.
usikubali kuishi kama kunguru! Unazijua tabia za kunguru? Utataka kuwa kila mtu; utataka upendwe na kila mtu; utataka ueleweke na kila mtu; utataka kudandia na kushindana na maono ya wenzako na mwisho wa siku utajikuta UMEFARIKI badala ya KUFA.

Ujumbe muhimuusikubali kuishi kama kunguru! Unazijua tabia za kunguru? Utataka kuwa kila mtu; utataka upendwe na kila mtu; utataka ueleweke na kila mtu; utataka kudandia na kushindana na maono ya wenzako na mwisho wa siku utajikuta UMEFARIKI badala ya KUFA.
Sawa hilikatika maisha tafuta watu wanaoamini katika maono yako, na wakimbie watu wasioamini katika maono yako. Tafuta mke anayeamini katika maono yako maana huyo hatasumbuliwa na leo yako ilivyo maana anaiona kesho itakavyokuwa kubwa na yenye mafanikio.
ulikuja hapa duniani peke yako na utaondoka peke yako, hivyo litafute kusudi lako kupitia maono yako. Hakuna atayekusaidia kuyaelewa vyema maono yako zaidi yako. Huwezi kuwawekea watu wengine presha ili wakusaidie kuyatimiza maono yako. Hapo it's you versus you!
📌📌📌katika maisha tafuta watu wanaoamini katika maono yako, na wakimbie watu wasioamini katika maono yako. Tafuta mke anayeamini katika maono yako maana huyo hatasumbuliwa na leo yako ilivyo maana anaiona kesho itakavyokuwa kubwa na yenye mafanikio.
👍👍👍ulikuja hapa duniani peke yako na utaondoka peke yako, hivyo litafute kusudi lako kupitia maono yako. Hakuna atayekusaidia kuyaelewa vyema maono yako zaidi yako. Huwezi kuwawekea watu wengine presha ili wakusaidie kuyatimiza maono yako. Hapo it's you versus you!
✅️✅️Maisha bado yana thamani sana, usimalize safari yako kwa makosa ya jana.
Maisha yanatufundisha uvumilivu, unyenyekevu, heshima na nidhamu kwa watu ambao, pengine hata hawajui maana ya hayo yote.
Uvumilivu ni moja ya silaha kubwa katika Safari yako ya maishaJifunze kuvumilia shida na kuzitatua mwenyewe
Uvumilivu ni moja ya silaha kubwa katika Safari yako ya maishaJifunze kuvumilia shida na kuzitatua mwenyewe