moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
uongo ndio sabuni ya kutakatisha ukweli katika ulimwengu wa leo. Watu wa leo bila kusema uongo ni kama vile hawajaongea. Kuna mtu bila kudanganya asingeolewa na mwingine asingeoa. Watu wamekubali kuwa sehemu ya uongo kiasi kwamba wakisema ukweli wanajistukia!
✔️✔️✔️uongo ndio sabuni ya kutakatisha ukweli katika ulimwengu wa leo. Watu wa leo bila kusema uongo ni kama vile hawajaongea. Kuna mtu bila kudanganya asingeolewa na mwingine asingeoa. Watu wamekubali kuwa sehemu ya uongo kiasi kwamba wakisema ukweli wanajistukia!
📌📌📌wale watu uliowategemea ndio husaidiana kukuponda na kukukatisha tamaa. Ila siku ukifanikiwa tu, ndio hutaka wawe wa kwanza kufaidi matunda ya juhudi zako kuliko hata wale waliokupa support yao wote!
Thamani ya kuishi maisha yenye maono inapatikana kwa kujua vyema KUSUDI LAKO la wewe kuja hapa duniani. Ukilijua kusudi lako katika utimilifu wake utauelewa pia ukweli wa maisha ambao hausemwi wala kufundishwa mashuleni, vyuoni, na katika nyumba za ibada.
Ukweli ni kuwa asikudanganye mtu bhana, ukiishi bila maono ni sawa kukubali kuishi kwa MIUJIZA TU. Sikia, wewe jiamini! Amini katika maono yako! Ishi maisha yenye kusudi. Na kikubwa muombe sana Mungu akupe macho ya rohoni ili uone uzuri wa kitu kilichopo mbele yako.
Ukweli ni kuwa asikudanganye mtu bhana, ukiishi bila maono ni sawa kukubali kuishi kwa MIUJIZA TU. Sikia, wewe jiamini! Amini katika maono yako! Ishi maisha yenye kusudi. Na kikubwa muombe sana Mungu akupe macho ya rohoni ili uone uzuri wa kitu kilichopo mbele yako.
👍👍Ukweli ni kuwa asikudanganye mtu bhana, ukiishi bila maono ni sawa kukubali kuishi kwa MIUJIZA TU. Sikia, wewe jiamini! Amini katika maono yako! Ishi maisha yenye kusudi. Na kikubwa muombe sana Mungu akupe macho ya rohoni ili uone uzuri wa kitu kilichopo mbele yako.
✅️✅️✅️kama kweli una mpango wa kutoboa kimaisha kaa na watu wanaoongelea NDOTO KUBWA za kuzitimiza hata kama ukiwaangalia unaona hawana kitu mfukoni! Ni lazima tu wataziprint hizo ndoto zao kubwa katika uhalisia.
✔️✔️✔️maisha hayataki uwe mtu wa kuchukulia mambo serious kila wakati. Wakati mwingine yaulize MATATIZO yako maswali MAGUMU tena huku UKIYECHEKA kweli kweli. Usiwe mtu wa kutingishwa tingishwa na maoni ya watu kuhusu maisha yako. Jifunze kuishi na WEWE!
📌📌📌Thamani ya kuishi maisha yenye maono inapatikana kwa kujua vyema KUSUDI LAKO la wewe kuja hapa duniani. Ukilijua kusudi lako katika utimilifu wake utauelewa pia ukweli wa maisha ambao hausemwi wala kufundishwa mashuleni, vyuoni, na katika nyumba za ibada.
SawasawaBila kuwa na nidhamu Safari ya maisha yako ya utafutaji itakua ndefu sana.
SawasawaMtu akikwambia changamoto yake, usimjibu kwa kumweleza changamoto yako. Tafuta wakati mwingine kumweleza hiyo ya kwako.
Sawasawa ✔️Mtu akikwambia changamoto yake, usimjibu kwa kumweleza changamoto yako. Tafuta wakati mwingine kumweleza hiyo ya kwako.
👍👍Jifunze kuzungumza wakati tu pale ambapo maneno yako yana nguvu zaidi kuliko ukimya wako
SawasawaBila kuwa na nidhamu Safari ya maisha yako ya utafutaji itakua ndefu sana.