myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa ✔️Maisha ni daftari lenye kurasa mbili ambazo tayari zimeandikwa na Mungu. Ukurasa wa kwanza ni KUZALIWA, na ukurasa wa mwisho ni KIFO. Kurasa za katikati zipo tupu kwa hiyo zijaze kwa TABASAMU na UPENDO.