myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Moyo wa binadamu una nguvu ya kurusha damu/maji hadi mita nne
SawasawaMoyo wa binadamu una nguvu ya kurusha damu/maji hadi mita nne
NAHAKIKISHAHakikisha unalia wakati wa mvua ili watesi wasiyaone machozi yako
SawasawaMidomo ya binadamu huwa na rangi nyekundu kutokana na kuwa na mishipa mingi sana ya damu eneo hilo!
📌📌📌Katika maisha yote ya binadamu anauwezo wa kuzalisha mate ya kujaza bwawa la kuogelea!
SawasawaKatika maisha yote ya binadamu anauwezo wa kuzalisha mate ya kujaza bwawa la kuogelea!
AiseeKila binadamu ana harufu yake ya tofauti kasoro mapacha wa kufanana tu, ndio wana harafu moja!
✔️✔️✔️Ukiamka asubuhi unakuwa na sentimita moja zaidi ya urefu kuliko jioni! Kwa sababu,wakati wa ufanyaji wa kazi mbalimbali za siku, viongio vya magotini husinyaa na kukufanya uwe mfupi kwa sentimita moja!
DuhMasikio na Pua huendelea kukua bila kikomo hata binadamu akifikia utu uzima
SawasawaMtoto Mchanga ana mifupa 60 zaidi ya mtu mzima
Sahihi kabisaMtoto Mchanga ana mifupa 60 zaidi ya mtu mzima
Sawasawa ✔️Kuna kilomita laki mbili za mishipa ya damu kwenye mwili wa binadamu!
SawasawaMisuli ya taya (mashavuni) Ndio misuli yenye nguvu kuliko misuli mingine yote kwenye mwili wa binadmu!
SawasawaKuna kilomita laki mbili za mishipa ya damu kwenye mwili wa binadamu!
SawasawaMwanaume huzalisha mbegu milioni kumi za uzazi siku! Kwa maana hiyo, anauwezo wa kujaza idadi yote ya dunia kwa miezi sita tu!
NakubalianaTafuta maisha lakini usisahau kuishi maana haujui kitakachotokea katika dakika inayofuata, siku kadhaa, miezi, au miaka, kwa hiyo ishi maisha kikamilifu, Kuwa na shukrani kwa baraka zilizo karibu yako, acha kupoteza muda kwa mambo usiyoweza kudhibiti
Hili sawa kabisaMaisha ni mapambano, tangu kutungwa kwa mimba, kuishi duniani hadi kufariki. Matatizo lazima yatakupata, wala usihangaike kuomba Mungu akuepushe nayo, kwani ni sehemu ya maisha. Omba Mungu akufungulie milango ya kutokea, tatizo linapokupata.