Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Samaki akatwe katwe tena,inakuwa imetoa radhi yote ya samaki,,ni shida kwa kwelikabisa. nilitoka nje ya mji kule wanauziwa kwa kilo sh elf 8 kasamaki kanakatwa katwa kama nyama buchani aisee. Halafu kumpata fresh ni kazi mno