myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu azidi kutupa afya na uzima 🙏🙏
Pole sana jamaniNilikuwa mgonjwa wanauzi wetu. Wiki 2 kitandani...naendelea vizuri...maombi yenu Muhimu🙏🙏
pole sana jirani. Tulikumiss sanaNilikuwa mgonjwa wanauzi wetu. Wiki 2 kitandani...naendelea vizuri...maombi yenu Muhimu🙏🙏
Nilikuwa mgonjwa wanauzi wetu. Wiki 2 kitandani...naendelea vizuri...maombi yenu Muhimu🙏🙏
🙏🙏pole sana jirani. Tulikumiss sana
Pole sana jirani, Mungu ni mwema, utapona tuNilikuwa mgonjwa wanauzi wetu. Wiki 2 kitandani...naendelea vizuri...maombi yenu Muhimu[emoji120][emoji120]
😆😆😆🙏🙏Pole sana Mkuu karibu tena. Tulitaarifiwa kwamba umeukwaa ubalozi Mkuu. Pole sana.
Aisee.....Hii ndiyo babarabara iliyowekwa kwenye mpango wa kuwekewa lami siku za hivi karibuni [emoji116][emoji116]View attachment 1798456
Ushapona Jirani. Damu ya Yesu iendelee kukufunika [emoji120][emoji2536][emoji120][emoji2536]Nilikuwa mgonjwa wanauzi wetu. Wiki 2 kitandani...naendelea vizuri...maombi yenu Muhimu[emoji120][emoji120]