Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Barcelona na Manchester City ni miongoni mwa klabu zinazomtaka kiungio wa kati wa klabu ya Atalanta Mjerumani Robin Gosens, 26. (Sport
Pole sana kaka.Nilikuwa mgonjwa wanauzi wetu. Wiki 2 kitandani...naendelea vizuri...maombi yenu Muhimu[emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120]Mungu azidi kutupa afya na uzima [emoji120][emoji120]
Asante, ugua pole[emoji120][emoji120]Nimewasalimu.. Asanteni sana