Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mapema tarehe 26 mwezi Mei utakuwa katika wakati maalum.

Kupatwa kwa mwezi mwaka 2021 kunafanyika huku mwezi ukitarajiwa kuwa mkubwa na mwekundu.

Tunaelezea tukio hilo na pale ambapo matokeo yake yataonekana.

Kupatwa kwa mwezi hutokea wakati dunia inapitia kati ya mwezi jua na kuweka kivuli katika mwezi.
 
That makes two of us lol! Nilikuwa naangalia Billiboard awards juzi basi Weeknd alipoanza kuperfom save you tears nikaweka sauti full blast 😂😂😂😂 si ya kuwasumbua neighbours but kukonga tu moyo wangu. Niliokuwa naangalia nao wakanuna 😂😂😂😂eti sauti kubwa sana nikawajibu jamani mie naupenda sana huu wimbo ukiisha tutapunguza sauti hahahahahaha. Wakakubali hivyo kuniachia nijirushe kivyangu vyangu huku wakiwa hawana mbavu 😂😂😂😂




Yeah
I saw you dancing in a crowded room
You look so happy when I'm not with you
But then you saw me, caught you by surprise
A single teardrop falling from your eye
I don't know why I run away
I'll make you cry when I run away
You could have asked me why I broke your heart
You could've told me that you fell apart
But you walked past me like I wasn't there
And just pretended like you didn't care
I don't know why I run away
I'll make you cry when I run away
Take me back 'cause I wanna stay
Save your tears for another
Save your tears for another day
Save your tears for another day
So I made you think that I would always stay
I said some things that I should never say
Yeah, I broke your heart like someone did to mine
And now you won't love me for a second time
I don't know why I run away
Oh girl, I make you cry when I run away
Girl, take me back 'cause I wanna stay
Save your tears for another
I realize that I'm much too late
And you deserve someone better
Save your tears for another day (ooh, yeah)
Save your tears for another day (yeah)
I don't know why I run away
I'll make you cry when I run away
Save your tears for another day, ooh girl (ah)
I said save your tears for another day, yeah (ah)
Save your tears for another day (ah)
Save your tears for another day (ah)


BAK i think am obsessed with this song 😀😀
 
Vilevile mwezi mkubwa na mwekundu hutokea wakati mwezi kamili au mpya unapokaribia njia ya mwezi duniani.

Hatua hiyo huufanya mwezi uonekane mkubwa.

Mzunguko wa mwezi upo mviringo, na upande mmoja (apogee) uko takriban kilomita 50,000 zaidi kutoka kwa dunia kuliko ule mwingine(perigee)

Hivyobasi mwezi unaojitokeza karibu na perigee unaitwa Mwezi mkubwa.

Tukio hili hujulikana pia kama "superluna ya maua" kwasababu hutokea wakati maua yanapochipuza katika chemchemi ya ulimwengu wa kaskazini.
 
Wakati wa kupatwa, Mwezi utaonekana kuwa mwekundu kwa sababu mwanga wa jua hautafikia Mwezi moja kwa moja, lakini sehemu ya nuru hiyo itachujwa na anga ya Dunia na rangi nyekundu na rangi ya machungwa itaonekana kwenye setilaiti yetu.

Tukio hilo la kushangaza linajulikana kama "mwezi wa damu".

"Mabadiliko haya ya rangi hayatokani na mabadiliko ya Mwezi wenyewe, lakini kwa sababu Mwezi utaelekea kwenye kivuli cha Dunia," Patricia Skelton, mtaalam wa nyota katika Shirika la Royal Observatory huko Greenwich, alielezea Wanahabari.

"Anga ya Dunia huangaza nuru ya jua na kuufanya mwezi kuwa mwekundu."
 
Kupatwa kutaonekana wapi?
Kupatwa kwa mwezi Mei 26 kutachukua dakika 15 na kutaonekana katika maeneo ya Amerika ya Kusini na pwani ya magharibi ya Amerika Kaskazini.

Pia kutaonekana kidogo katika sehemu za Amerika ya Kati na mashariki mwa Amerika Kusini.

Inaweza pia kuonekana katika sehemu ya mashariki mwa baadhi ya nchi za bara Asia, na eneo la Oceania.
 
Hii ni tukio la kwanza la kupatwa kwa mwezi kati ya manne ambayo tutayaona 2021.

Mnamo Juni 10 kutakuwa na tukio jingine la kupatwa kwa jua .

Kupatwa tena kwa mwezi kutafanyika mnamo Novemba 18 na tukio la mwisho litakuwa la kupatwa kwa jua mnamo Desemba 4.
 
That makes two of us lol! Nilikuwa naangalia Billiboard awards juzi basi Weeknd alipoanza kuperfom save you tears nikaweka sauti full blast 😂😂😂😂 si ya kuwasumbua neighbours but kukonga tu moyo wangu. Niliokuwa naangalia nao wakanuna 😂😂😂😂eti sauti kubwa sana nikawajibu jamani mie naupenda sana huu wimbo ukiisha tutapunguza sauti hahahahahaha. Wakakubali hivyo kuniachia nijirushe kivyangu vyangu huku wakiwa hawana mbavu 😂😂😂😂




Yeah
I saw you dancing in a crowded room
You look so happy when I'm not with you
But then you saw me, caught you by surprise
A single teardrop falling from your eye
I don't know why I run away
I'll make you cry when I run away
You could have asked me why I broke your heart
You could've told me that you fell apart
But you walked past me like I wasn't there
And just pretended like you didn't care
I don't know why I run away
I'll make you cry when I run away
Take me back 'cause I wanna stay
Save your tears for another
Save your tears for another day
Save your tears for another day
So I made you think that I would always stay
I said some things that I should never say
Yeah, I broke your heart like someone did to mine
And now you won't love me for a second time
I don't know why I run away
Oh girl, I make you cry when I run away
Girl, take me back 'cause I wanna stay
Save your tears for another
I realize that I'm much too late
And you deserve someone better
Save your tears for another day (ooh, yeah)
Save your tears for another day (yeah)
I don't know why I run away
I'll make you cry when I run away
Save your tears for another day, ooh girl (ah)
I said save your tears for another day, yeah (ah)
Save your tears for another day (ah)
Save your tears for another day (ah)

Kama nakuona 😀😀
 
Ifikiapo mwaka 2024, iwapo mambo yatafanyika kulingana na mipango iliowekwa na Marekani, Utawala wa rais Joe Biden utapokea ndege mpya aina ya Airforce One .

Ndege za sasa ni aina ya Boeing 747 na sawa na zile zitakazokuja, ijapokuwa zitakuwa aina mpya ambayo ni ndefu na pana zaidi ya mtangulizi wake

Lakini licha ya kuwa ndege ya abiria, tunauliza ni kwanini ndege hiyo inaogopwa sana duniani?
 
Inaweza kuhimili mlipuko wa nyuklia!

Ndege hiyo ilioundwa kwa lengo la kivita ina uwezo wa kuhimili mshindo wa mlipuko wa kinyuklia. Iwapo mlipuko wa bomu hilo ungetokea rais wa Marekani angeepuka .

Anaweza kutoa maagizo na mikakati kukabili vita akiwa ndani. Hii ni kwasababu mwili wa ndege hiyo umeundwa kwa lengo la kuepuka mlipuko wowote .

Katika madirisha ya ndege hiyo kuna waya zilizowekwa kuzuia mionzi, mbali na kuzungukwa na mabati yaliowekwa waya kuzuia mapigo ya umeme, joto, na moto.
 
Ndege hiyo inaweza kujazwa mafuta ikiwa angani
Teknolojia kushangaza ya ndege aina ya Airforce One ni uwezo wake wa kuweka mafuta ikiwa angani.

Ijapokuwa ndege mpya ya Airforce One inayotarajiwa kuzinduliwa 2024 huenda ikose teknolojia hiyo, ni muhimu sana.

Ili kuweza kujazwa mafuta ikiwa angani ni sharti kuwepo kwa ndege nyengine na tangi la mafuta katikati.

Operesheni hiyo kwa jina boom husimamia uhamishaji huu wa mafuta huku rubani akifuatilia kwa makini.

Operesheni ya boom hukata mara tu mafuta yanapojaa.

Iwapo ndege moja itasogea kidogo mafuta hayo pia hujikata mara moja. Kwa kujaza mafuta angani , ndege hiyo inaokoa muda wa kutua ardhini na kujaza mafuta
 
Ina ngazi zake na mashine ya kupandisha mizigo ndani ya ndege
Kwa kuwa ni ndege ya rais , hakuna sababu ya ukosefu wa raslimali zinazotumika kutengeneza ndege hiyo.



Ndege hiyo ina ngazi inayoweza kuwekwa na kutolewa hivyobasi haitegemei ngazi ya uwanja wa ndege kwa watu kushuka ndani ya ndege hiyo au kupanda.

Hatua hiyo inahakikisha kuwa ngazi hiyo haina kasoro yoyote.

Kwasababu hizohizo ndge hiyo ina mashine ya kupandisha mizogo ndani ya ndege hiyo hivyobasi hakuna uwezekano wa mzigo isiojulikana kuingizwa ndani ya ndege hiyo.
 
Ina vifaa tofauti vya kiusalama - ikiwemo uwezo wa kutoa miali ya moto.
Kwa kuwa iliundwa kwa lengo la kivita na usalama wa Rais, kuna teknolojia ya usalama iliotengenezwa ndani yake.

Ndege hiyo ina vifaa vya kielektroniki vinavyoweza kuzikabili rada zozote za adui zitakazotambuliwa.

Ndege hiyo pia inaweza kujilinda dhidi ya makombora ya adui zake kwa kutoa miale ya moto dhidi yake inayoweza kuyakabili.
 
Kifaa kinachoweza kuficha na kutatiza mawasiliano
Mawasiliano ni mojawapo ya vitu vinavyolengwa kwa urahisi na hutumika sana wakati wa shambulio.

Ili kuhakikisha kuwa kuna viwango vya juu vya usalama wakati kunapokuwa na mawasilino ya juu ya ndege na ardhini , Airforce One ina uwezo wa kuhakikisha kuwa mawasiliano yote yako salama kupitia kuficha na vifaa vya kutataiza.

Ishara zilizosimbwa au kufichwa za GPS husaidia kuelewa chanzo cha habari inayowasilishwa.
 
Back
Top Bottom