myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kwenye maisha lazima uchaguwe mambo ya kukomaa nayo na kuyapa muda wako vinginevyo maisha yana mambo mengi ya kukuchaguwa na kukomaa na wewe na utaishi adithi ambayo wewe sio mwandishi hivyo hufahamu ilipoanzia wala itakapo ishia

Maisha ni mzunguko wa furaha, huzuni, nyakati ngumu na nyakati nzuri. Ikiwa unapitia nyakati ngumu, Usikate tamaa kuwa na imani kwamba nyakati nzuri zinakuja.
Kwenye maisha lazima uchaguwe mambo ya kukomaa nayo na kuyapa muda wako vinginevyo maisha yana mambo mengi ya kukuchaguwa na kukomaa na wewe na utaishi adithi ambayo wewe sio mwandishi hivyo hufahamu ilipoanzia wala itakapo ishia
Kila hali maishani ni ya muda tu, Kwa hiyo, maisha yanapokuwa mazuri, hakikisha unayafurahia kikamilifu. Na yanapokuwa magumu usikate tamaa kumbuka kuwa hayataendelea milele siku njema zinakaribia.
Ukweli Mchungu kuhusu Maisha
1. Kila mtu ana matatizo yake, hata yule anayeonekana kuwa na kila kitu.
2. Si kila juhudi yako itakubalika au kuonekana.
3. Marafiki wa kweli ni wachache, na wengi watakuja tu wakati wa neema.
4. Maumivu ni sehemu ya ukuaji, huwezi kuyaepuka.
Ukweli mchungu wa Maisha
1. Watu hubadilika inaweza kuwa vigumu kuzoea mabadiliko hayo, lakini ni sehemu ya maendeleo ya asili ya maisha.
2. Kukataliwa kutatokea Katika maisha na katika upendo, wakati mwingine watu hawatupi tunachotaka au kutarajia
3. Maumivu hayaepukiki

SawasawaUkweli Mchungu kuhusu Maisha
1. Kila mtu ana matatizo yake, hata yule anayeonekana kuwa na kila kitu.
2. Si kila juhudi yako itakubalika au kuonekana.
3. Marafiki wa kweli ni wachache, na wengi watakuja tu wakati wa neema.
4. Maumivu ni sehemu ya ukuaji, huwezi kuyaepuka.
ππMasomo 5 magumu kuhusu Maisha ambayo hakuna mtu atayekufundisha
1. Watu wengi hawajali matatizo yako.
2. Dunia hailipi nia njema, inalipa matendo.
3. Mafanikio huja kwa gharama.
4. Hakuna anayekuwaza sana kama unavyofikiri.
5. Sio kila mtu atakupenda. wewe sio pesa
βοΈβοΈUkweli mchungu wa Maisha
1. Watu hubadilika inaweza kuwa vigumu kuzoea mabadiliko hayo, lakini ni sehemu ya maendeleo ya asili ya maisha.
2. Kukataliwa kutatokea Katika maisha na katika upendo, wakati mwingine watu hawatupi tunachotaka au kutarajia
3. Maumivu hayaepukiki
SawasawaMasomo 5 magumu kuhusu Maisha ambayo hakuna mtu atayekufundisha

βοΈβοΈUkweli mchungu kuhusu maisha ambao watu wengi hatupendi kuukubali.
1. Usitarajie kupokea kile unachotoa si kila mtu ana moyo mwema.
2. Utawachukiza na utapoteza marafiki wengi pindi unapoanza kuwa focus na malengo ya maisha yako
3 . Unawajibika kwa maisha yako mwenyewe
Ukweli mchungu kuhusu maisha ambao watu wengi hatupendi kuukubali.
1. Usitarajie kupokea kile unachotoa si kila mtu ana moyo mwema.
2. Utawachukiza na utapoteza marafiki wengi pindi unapoanza kuwa focus na malengo ya maisha yako
3 . Unawajibika kwa maisha yako mwenyewe
Sawa4 Wivu ni ukosefu wa kujiamini.
AiseeMafanikio ya maisha yako ni muunganiko wa vitu vikuu vitatu. Muda, Jitihada na Baraka. Muda ni wa wote, jitihada ni za kwako ila baraka ni majaliwa.
SawasawaMafanikio ya maisha yako ni muunganiko wa vitu vikuu vitatu. Muda, Jitihada na Baraka. Muda ni wa wote, jitihada ni za kwako ila baraka ni majaliwa.