myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kuwa Na Nia Ya Kuwa Mchangamfu Na Mwenye Furaha Katika Hali Yoyote Unayoweza Kujikuta.Kwa Maana Umejifunza Kwamba Sehemu Kubwa Ya Huzuni Au Kutoridhika Kwako Haijaamuliwa Na Hali Yako Bali Na Mtazamo Wako.Furaha Ya Maisha Yako Inategemea Mawazo Yako
Hofu imetawala maisha yetu. Hofu inatudumaza. Hofu inatukwamisha.
KUISHI ni kupambana na HOFU
Tunaogopa kujieleza. Tunaogopa kutokujieleza. Tunaogopa kuonekana wajuaji. Tunaogopa kutokuonekana kabisa. Tunaogopa kujivuna. Tunaogopa kuhukumiwa. Tunaogopa tulikotoka. Tunaogopa tuliko. Tunaogopa tuendako.
Tunaogopa kujifunza. Tunaogopa kubadilika. Tunaogopa gharama ya kubaki tulivyo. Tunaogopa kujiajiri. Tunaogopa kutokuajiriwa. Tunaogopa kazi. Tunaogopa kuwajibika. Tunaogopa umasikini. Tunaogopa utajiri. Tunaogopa kustaafu. Tunaogopa kusahaulika.?Tunaogopa kifo
Tunaogopa kujifunza. Tunaogopa kubadilika. Tunaogopa gharama ya kubaki tulivyo. Tunaogopa kujiajiri. Tunaogopa kutokuajiriwa. Tunaogopa kazi. Tunaogopa kuwajibika. Tunaogopa umasikini. Tunaogopa utajiri. Tunaogopa kustaafu. Tunaogopa kusahaulika.?Tunaogopa kifo
βοΈβοΈTunaogopa kupenda. Tunaogopa kukataliwa.
Tunaogopa mahusiano. Tunaogopa familia. Tunaogopa kulea. Tunaogopa usimbe. Tunaogopa upweke. Tunaogopa kuachika. Tunaogopa kutokuachika.
Ukweli unakuweka huru!
Mambo mengi tulifunzwa ktk maisha ni distraction ya ukweli,
Mfano, Tumefundishwa kuona Changamoto Kama ni kitu kinatochouumiza,
Ukweli: Changamoto hutufanya tuwe bora zaidi.
Maisha bila changamoto ni uongo.
Mindset yako ni product ya jamii yako
Hali ambazo unalazimika kukubali kuhusu maisha:
β’ Watu hubadilika.
β’ Mapenzi hayadumu.
β’ Si kila mtu atakupenda.
β’ Pesa huja na kuondoka.
β’ Marafiki huja na kuondoka.
β’ Kila mtu ana matatizo yake.
β’ Una ndoto sawa, ila Sio kila kitu utakipata maishani.
Mtu mwema hajitapi kwa mambo mazuri alio kufanyia,
Mtu mwema anafurahi unapo kuwa bora zaidi.
Mtu mwema hakusemi vibaya kwa wanao kuzunguka,
Mtu mwema hukuongoza na kukuepusha na watu wenye nia mbaya.
Mtu mwema hakununii,
Mtu mwema anakuonyesha busara za maisha.
Mtu mwema hajitapi kwa mambo mazuri alio kufanyia,
Mtu mwema anafurahi unapo kuwa bora zaidi.
Mtu mwema hakusemi vibaya kwa wanao kuzunguka,
Mtu mwema hukuongoza na kukuepusha na watu wenye nia mbaya.
Mtu mwema hakununii,
Mtu mwema anakuonyesha busara za maisha.
SAWASAWAKutunza Siri za Mwengine ni Kiwango Cha Juu Sana Chakuaminiwa Unatakiwa Kuitunza Hiyo Nafasi au Daraja Kwa Imani Ulioaminiwa
β οΈβ οΈβ οΈUkiaminiwa kuzijua aibu za mtu umebebeshwa mzigo mzito. Ukiaminiwa kutunza siri za mtu umekula kiapo cha utii. Hata mkigombana na mtu aliyewahi kukuamini, bado unawajibika kumsitiri na kuheshimu faragha yake vinginevyo unakuwa msaliti.
Muhimu sanaKutunza Siri za Mwengine ni Kiwango Cha Juu Sana Chakuaminiwa Unatakiwa Kuitunza Hiyo Nafasi au Daraja Kwa Imani Ulioaminiwa
Kweli kabisaUkimsaliti mtu maana yake uliahidi kuaminika na alikuamini. Ukitaka akuamini tena usisahau uliahidi na uliaminika.
SawaKazi kubwa ya kiburi ni kukujaza ujasiri uamini unaweza kumfanyia mtu chochote kutweza utu wake na hakuna kitu atafanya. Ukishakaa vizuri kwenye mteremko mkali wa anguko lako unagundua ulivyo mnyonge na hakuna kitu utafanya kujinasua
SawasawaKazi kubwa ya kiburi ni kukujaza ujasiri uamini unaweza kumfanyia mtu chochote kutweza utu wake na hakuna kitu atafanya. Ukishakaa vizuri kwenye mteremko mkali wa anguko lako unagundua ulivyo mnyonge na hakuna kitu utafanya kujinasua
ππKazi kubwa ya kiburi ni kukujaza ujasiri uamini unaweza kumfanyia mtu chochote kutweza utu wake na hakuna kitu atafanya. Ukishakaa vizuri kwenye mteremko mkali wa anguko lako unagundua ulivyo mnyonge na hakuna kitu utafanya kujinasua
KweliHuwezi kumlazimisha Mtu Akuone wewe ni Baraka kwake Acha Maisha Yamfundishe
Maisha huwa magumu zaidi unapotarajia makubwa kutoka watu na kidogo kutoka kwako. Maisha yanakuwa nafuu kidogo unapotarajia mengi kutoka kwako na machache kutoka kwa watu. Viwango vya juu, matarajio madogo
ππMaisha yapo kwenye kupokea ushauri na maoni ya watu juu ya maisha yako. Wema busara na hekima za maisha ni vitu vya kubadilishana na watu kiungwana.