myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mkumbushe mwanao kuwa mhimili wa mapenzi ni upendo wa dhati ambao umebebwa na kuheshimiana,kuthaminiana na kusikilizana,na akiona dalili ya kudharauliwa ajue hiyo ni ishara ya penzi kukosa upendo.
Mkumbushe mwanao kuwa mhimili wa mapenzi ni upendo wa dhati ambao umebebwa na kuheshimiana,kuthaminiana na kusikilizana,na akiona dalili ya kudharauliwa ajue hiyo ni ishara ya penzi kukosa upendo.
Mkumbushe mwanao kuwa kukaa kwenye meza wanayojadili mambo ya watu kuliko maisha yao binafsi hakutampa anachokitaka bali kutampotezea muda,dira na mwelekeo wake wa maisha.
ππMkumbushe mwanao kuwa kukaa kwenye meza wanayojadili mambo ya watu kuliko maisha yao binafsi hakutampa anachokitaka bali kutampotezea muda,dira na mwelekeo wake wa maisha.
βοΈβοΈMaadui ulionao ni watatu ambao ni Umaskini, Umaskini na Umaskini..
Mshinde huyo utanyanyua kombe la nafsi za wengi wanaokuamini.
Tusichoke kupambana wanangu mpaka tufanikiwe kuzibadili NDOTO zetu kuwa UHALISIA
Kuna wanaomka na kwenda na kazi kazini, na kuna wanaoamka kwenda kukutana na kazi kazini. Kuna wanaoaga kazini na kuiaga kazi jioni na kuna wanaoga kazini na kwenda na kazi nyumbani. Wale wa aina ya kwanza hatimaye hushangaa na kuchukia kwa nini wale wa aina ya pili wanapanda juu
InawezekanaYawezekana ni mazoea au ni mfumo wa maisha tulioukuta,pesa tamu zaidi ni ile uliyoipambania kwa jasho lako na ndio huwa inaheshimiwa zaidi na kufanya maendeleo.
Imani inasema easy money disappears the way it came.
Wachache sana huwa wanafanya mambo tofauti.
Sawasawa βοΈKuna wanaomka na kwenda na kazi kazini, na kuna wanaoamka kwenda kukutana na kazi kazini. Kuna wanaoaga kazini na kuiaga kazi jioni na kuna wanaoga kazini na kwenda na kazi nyumbani. Wale wa aina ya kwanza hatimaye hushangaa na kuchukia kwa nini wale wa aina ya pili wanapanda juu
Inawezekana hiliYawezekana ni mazoea au ni mfumo wa maisha tulioukuta,pesa tamu zaidi ni ile uliyoipambania kwa jasho lako na ndio huwa inaheshimiwa zaidi na kufanya maendeleo.
Imani inasema easy money disappears the way it came.
Wachache sana huwa wanafanya mambo tofauti.
SawasawaTunaishi dunia moja lakini maisha tofauti
NakubalianaUmri ambao tunatakiwa tutengeneze maisha ndio umri ambao unastarehe nyingi za kidunia. Unajikuta unakuja kukumbuka shuka kumeshakucha
Aisee..Ukiweza kuukwepa Ulevi na Uzinzi unakuwa umesolve 90% ya Adulthood problems
Hakuna mtu atakaekufundisha namna ya kuishi zaidi utajikuta tu wewe mwenyewe ukifanya Yale yanayofanyakazi kwako
Hakuna mtu atakaekufundisha namna ya kuishi zaidi utajikuta tu wewe mwenyewe ukifanya Yale yanayofanyakazi kwako
SawasawaHakikisha haujidanganyi mwenyewe maana mafanikio hayaigiziki
NakubalianaUsipoteze nguvu zako wala akili yako kupambana na kile ambacho hutoweza kukibadilisha