myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wakati wa kutafuta usikubali dharau zingatia unachotafuta vingine aviji na dharau.
Wakati wa kutafuta usikubali dharau zingatia unachotafuta vingine aviji na dharau.
Hakuna mtu asiekuwa muhimu kila mtu ana umuhimu wake kwa wakati wake hata chiz unaemuona hafai ipo siku atakuja kuwa msaada Kwako
Hakuna mtu asiekuwa muhimu kila mtu ana umuhimu wake kwa wakati wake hata chiz unaemuona hafai ipo siku atakuja kuwa msaada Kwako
Hakuna matarajio tena, fuata tu mkondo wa maisha na chochote kitakachotokea, kitokee.
πππHakuna matarajio tena, fuata tu mkondo wa maisha na chochote kitakachotokea, kitokee.
NAKUBALIANADunia iko katika wakati ambao vitu vinapendwa kuliko watu na watu wanatumika kuliko vitu.
SawasawaMuda ni ukuta, jifunze kufanya jambo linalo wezekana Kwa wakati huo
Unajenga Tabia kwa mazoea kisha tabia inakujenga na wewe mwenyewe
Duniani umekuja wewe na mission yako..Kama huamini kunywa Sumu uone kama atakufa jirani.
Ukitaka kufahamu thamani ya uhai wako tembelea wagonjwa hospitalini,wako wenzetu machozi ni sehemu ya maisha yao kila siku,Heshimu kila siku ambayo Mungu amekupa.
Sawasawa βοΈ βοΈMarafiki Ambao Hawawezi Kukusaidia Wakati Una Shida Bado Ni Marafiki Zako. They're Not Fake, Nao Pia Wanapitia Mengi. Huna Haki Ya Kumkasilikia Mtu Ambaye Ameshindwa Kufanya Kile Ambacho Kimekushinda Kufanya
Binadamu ni wasiri sana, Wanaweza kukuonyesha kila siku maisha yao ya kwenye mtandao, ila Usiyajue maisha yao Halisi.