Kujipenda ni hali ya kujikubali jinsi ulivyo, kujithamini,kujiamini na kujali hisia zako na ustawi wa afya yako ya mwili na akili. Upendo ni dawa ya kupona machungu, kabla ya kusubiri kupendwa na wengine ili uwe sawa basi anza kujipenda wewe mwenyewe ili ujikinge dhidi ya upweke