Watu wengi huishia kujihukumu wao wenyewe kwa kutofurahia maisha yao, kwa kutokujikubali kwa namna walivyo, wanavyoonekana na wanavyoishi na kuishia kusononeka kutokana na kuyaangalia maisha yao kupitia maisha ya watu wengine na kupima maisha yao kulingana na maneno ya wengine