myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sote tunazo ndani yetu mbegu za wema na ubaya, chuki na upendo, utu na unyama. Matokeo ya hulka zetu hutegemea tu mbegu ipi tunaistawisha
Mafanikio Huvutia Maadui. Maendeleo Yanazalisha Wivu. Kama Hakuna Anayekuchukia, Basi. Hujafanikiwa Vizuri Maishani."
SawasawaMafanikio Huvutia Maadui. Maendeleo Yanazalisha Wivu. Kama Hakuna Anayekuchukia, Basi. Hujafanikiwa Vizuri Maishani."
Mafanikio Huvutia Maadui. Maendeleo Yanazalisha Wivu. Kama Hakuna Anayekuchukia, Basi. Hujafanikiwa Vizuri Maishani."
Matatizo yanapatanisha sana watu kuliko furaha!!

Heshima Ya Mtu Inapanda Au Inashuka Kulingana Na Kile Anacho Zungumza Na Ndio Maana Hekima Kubwa Kuliko Zote Ni Kukaa Kimya
Watu wenye mtazamo hasi hawajawahi kuleta suluhisho la tatizo lolote lile isipokua huona tatizo tu kwa kila suluhisho

Fanya kazi kwa bidii bila kuchoka,hata usipopata mafanikio utapata heshima
Heshima Ya Mtu Inapanda Au Inashuka Kulingana Na Kile Anacho Zungumza Na Ndio Maana Hekima Kubwa Kuliko Zote Ni Kukaa Kimya
Akili ni kama sumaku unachoruhusu ifikirie ndicho inachokivuta,ukiwaza mabaya inayaleta ukiwaza mazuri inayaleta pia
Ubaya ni kwamba huwa tunapata funzo umri ukiwa umeenda
Siogopi hiliUsiogope kupoteza watu ,Ogopa kujipoteza kwa kujaribu kumfurahisha kila mtu
Usiogope kupoteza watu ,Ogopa kujipoteza kwa kujaribu kumfurahisha kila mtu
Maisha yamejaa Baraka. Kwa sababu tunashindwa kuelewa maana ya kweli ya Baraka, kile tunacho, ambacho wengi hawana kabisa. Kile kilichokusudiwa kwako huenda kisiwe kwa wengine, na kilichokusudiwa kwao, huenda kisiwe chetu. Hiyo ndiyo hali halisi ya maisha.
Ukiwa muadilifu kwenya maisha yako Mambo yako yatanyooka tu.
Japokuwa Kuna Ugumu sana Kuwa Muadilifu ndio maana mengi wanashindwa.
Uadilifu Ni Msingi na Nguzo ya Maisha halisi ya Maisha ya Mwanadamu.