Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umaskini hautakuacha ikiwa utaendeleza tabia ya kutafuta pesa kisha kutumia pesa hizo kuwaonesha watu kuwa wewe sio maskini.
 
Acha kujilinganisha, kwasababu kila utakapojilinganisha na watu wengine lazima utaona kasoro tu, mwishowe utaishia kusononeka kwa vitu ambavyo hauna, utashindwa kujiamini, utajiona umechelewa kwenye maisha na utasahau una vitu vingi vya kushukuru ambavyo pia watu wengine hawana
 
Ukiwa unatoka kwenye familia ambayo haina kitu basi kila utakachokipata utakishukuru na utakiheshimu, hautanyimwa furaha na maisha ya watu wengine, hautaona aibu kwenye kutafuta fedha na wala hautakata tamaa kwasababu kuna kundi kubwa la watu linakutegemea wewe mpambanaji wao
 
Hakuna mtu mwenye maisha bora kwa 100%, Ukimuona mtu anafuraha sana ni aidha mtu huyo anaigiza maisha na kuweka kinyago cha furaha au ameamua kukubaliana na hali na kutokushindana na vitu vilivyo nje ya uwezo wake, Pia hata wewe unahitaji kuishi kwa kukubaliana na hali uliyonayo
 
Back
Top Bottom