Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hakuna mtu mwenye maisha bora kwa 100%, Ukimuona mtu anafuraha sana ni aidha mtu huyo anaigiza maisha na kuweka kinyago cha furaha au ameamua kukubaliana na hali na kutokushindana na vitu vilivyo nje ya uwezo wake, Pia hata wewe unahitaji kuishi kwa kukubaliana na hali uliyonayo