Ukikosa kazi ya kufanya basi utaanza kufanya mambo yasiyo kuhusu, na ukianza kufanya mambo yasiyo kuhusu basi ni lazima utagombana na watu, hivyo basi fanya mambo yako yote maliza, muda ukiwa nao tumia kujitathmini, kujijenga na kujiimarisha utaepukana na mambo mengi