Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wale ambao wanakusaidiaga hakikisha siku moja moja bila sababu unawapigia tu simu kuwasalimia sio kuwapigia tu ukiwa na shida mpaka wakiona simu yako wanajua ni ombi linakuja. Wataacha kupokea simu zako".