Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mara nyingi chuki dhidi yetu hupaliliwa na tambo na majivuno yetu hadharani kisha tunalaumu watu na kuwaita wabaya. Tuwe wanyenyekevu."
 
Huwezi kuwa unasonga mbele kama hawapo unaowaacha nyuma wala hawapo unaowapita mbele yako. Ukigeuka nyuma na usione wanaokukimbiza ujue wewe ndio wa mwisho. Ukitazama mbele usione wa kuwakimbiza ujue mwisho wako umekaribia. Nafasi zote hizi mbili ni hatari kwa ustawi wako."
True 👍
 
Kusikiliza ni tofauti na kusikia. Unajifunza kusikiliza wakati kusikia ni muitikio wa asili wa stimuli.Kusikiliza ni stadi na pia ni sanaa. Ukijijengea kusikiliza utajikuta una uwezo mkubwa wa kusikiliza si tu maneno, bali pia hisia na ishara zinazobebwa na maneno hayo."
Kweli
 
Hofu zetu katika maisha hazina ubavu dhidi ya uthubutu na wakati. Tunajikuta mateka wa hofu pale tunapojaribu kuikimbia badala ya kuikabili, na tunapoamini tunachokihofia kitabaki hivyo daima. Ukweli ni kuwa hofu ikikabiliwa, inanywea, hali kadhalika, hofu ikizoeleka, inafifia!"
👍
 
Ukiwa kijana unatakiwa kuzingatia haya;Usiwe na pupa,kuwa mnyenyekevu,jinoe katika stadi walau moja uimudu vizuri,jitolee zaidi ili upate kujifunza, jenga mtandao,zingatia ibada, jifunze nidhamu ya maisha na pesa na heshimu kanuni ya wakati,wakati wako wa kuchanua utafika.
 
Ishi vizuri na watu, zungumza na watu wengi, jisomee maudhui mbalimbali, sikiliza kadri unavyoweza, fungua pazia na ikibidi vunja kuta za imani,dini, jinsia,kabila na mbari (race) ili kujifunza mengi usiyoyajua na kuthamini unayoyajua.Kuna mengi ya kujifunza kwa usiofanana nao.
 
Back
Top Bottom