Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mara nyingi maneno yanayozuka katikati ya ugomvi, ambayo yawezekana hata hayahusiani na ugomvi wenyewe, ndio hugeuka kuwa ugomvi mkubwa kuliko ugomvi mlioanza nao. Weka akiba ya maneno unapokuwa na hasira usijejikuta wewe uliyekosewa ndio unalazimika hatimaye kuomba msamaha!"
 
Maisha yetu hutegemea mtazamo tuliouchagua kutawala maisha yetu.Wako walioruhusu maisha yao kuendeshwa na HOFU na wako wale walioruhusu maisha yao kuendeshwa na TUMAINI. Wale wa kwanza hukaribisha mashaka katika maisha yao, wakati hawa wa pili hukaribisha furaha.Chaguo ni lako!"
 
Sote ama ni wahanga au wahanga watarajiwa wa magonjwa ya afya ya akili. Maisha yetu yamezungukwa na sababu nyingi za kutukatisha tamaa na kutupa msongo wa mawazo. Daima jitahidi kutopoteza mambo mawili, kwanza, tumaini, na pili, watu
 
Furaha hutokana pamoja na mambo mengine kukubali hali zetu, kufurahia tofauti zetu na kushukuru Mungu kwa majaliwa yetu."
 
Back
Top Bottom