Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ishi vizuri na watu, zungumza na watu wengi, jisomee maudhui mbalimbali, sikiliza kadri unavyoweza, fungua pazia na ikibidi vunja kuta za imani,dini, jinsia,kabila na mbari (race) ili kujifunza mengi usiyoyajua na kuthamini unayoyajua.Kuna mengi ya kujifunza kwa usiofanana nao."