Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Akiba ya maneno ni somo kuu ambalo tunalazimika kujifunza sana zama hizi.Tofauti na awali, tunaishi katika zama ambazo mabadiliko ndio jambo la kawaida. Jambo ulionavyo leo sivyo litakavyokuwa masaa machache baadae au kesho. Ukiyasema maneno yote leo utakosa ya kukunasua kesho
Haswaa
 
Kwenye kipindi cha ujana tambua kuwa ni kipindi cha kukumbana na mtihani, kila kitu ni kama hakiendi, unajisikia kama kukata tamaa, unajiuliza wapi ulikosea. Usihofu, ni hali ya kawaida, ni wakati wa kujitafuta, unaweza kuvuka."
 
Kutukuza fedha kuna fedheha zake na kutukuza utu kuna utumwa wake. Kila chaguo ni gharama. Chaguo ni lako!"
 
Wewe ni wa kipekee kama yule unayetamani kufanana nae au kuwa yeye. Ambacho kafanikiwa yule unayemtamania ni kuuthaminisha, kuunadi na kuuvumisha upekee wake.Huna sababu ya kuwa kama yeye, chagua kuwa wewe katika ubora wako.Ukithamini upekee wako, walimwengu watakuthamini pia."
 
Wewe ni wa kipekee kama yule unayetamani kufanana nae au kuwa yeye. Ambacho kafanikiwa yule unayemtamania ni kuuthaminisha, kuunadi na kuuvumisha upekee wake.Huna sababu ya kuwa kama yeye, chagua kuwa wewe katika ubora wako.Ukithamini upekee wako, walimwengu watakuthamini pia
 
Mara nyingi maneno yanayozuka katikati ya ugomvi, ambayo yawezekana hata hayahusiani na ugomvi wenyewe, ndio hugeuka kuwa ugomvi mkubwa kuliko ugomvi mlioanza nao. Weka akiba ya maneno unapokuwa na hasira usijejikuta wewe uliyekosewa ndio unalazimika hatimaye kuomba msamaha!"

Back
Top Bottom