Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Katika maisha na haswa kwenye ushindani, jenga tabia ya kutowaacha wenzako mikono mitupu. Gawana ushindi, sifa au mafanikio na wengine kupunguza nongwa. Wakijisikia nao kushinda japo kiasi wanapunguza kukukamia kwenye ushindani ujao."