Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nafsi yako dhaifu ni adui yako mkubwa kuliko mtu mwingine yoyote.Nafsi dhaifu muda wote hutafuta pa kupangusia lawama na si kujisuta yenyewe."
 
Duniani kuna viumbe-watu. Machoni ni nadhifu, mioyoni ni dhaifu, upenuni ni watu ila kizani ni mwitu, sura zao ng'avu ila ndimi zao sumu."
 
Watu huja kwenye maisha yetu na kuondoka katika maisha yetu kwa wakati sahihi kabisa. Ni sisi ndio tunaojaribu kuwachelewesha kuingia hadi tuwe katika hali ya kukata tamaa ama tunawachelewesha kutoka mpaka watuumize,kutudhuru na kutujeruhi nafsi. Maamuzi yetu ndio maumivu yetu!
🌹🌹🌹
 
Maisha yamejaa mapito. Pamoja na na kujua mambo mema huanzia mapito yanapoishia,kuyasafiri mapito imebaki kuwa mtihani mkubwa katika maisha yetu wanadamu. Tungependa mapito yapite lakini yasitupitie. Hatuna budi kuyapita ili yatuandae kwa mema yajayo mbele yetu. Mapito, hupita!”

Back
Top Bottom