Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tujifunze kuvumilia watu na machaguo yao ya maisha hata kama hayaleti maana akilini na machoni mwetu. Mengi ya machaguo yetu katika maisha ya leo ni fidia ya yale tuliyoyapania kuyafanya, au kuyamiliki huko nyuma ambayo hatukuweza kuyafanikisha kwa kuwa hatukuwa na uwezo nayo.”