Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukishusha utu na heshima ya mtu, unaweza jikuta umeudhi si yule tu uliyemlenga, bali na wale wanaomheshimu na kumthamini ambao wengine wanakumudu. Kabla hujamvaa mtu, pima ikiwa unammudu yeye na unamudu watu wake."
 
Furaha na faraja katika maisha hupatikana katikati ya lundo la matatizo na changamoto, wenye pupa hukata tamaa,wenye subra na imani huifukua.
 
Watu wanapitia mengi sana ambayo hatuyaoni wala hawatuonyeshi usoni mwetu. Ukiwakuta watu wanafurahi ama kushangilia mafanikio yao hata kama ni madogo, ama ungana nao kushangilia,au wapishe washangilie. Kama wewe si sehemu ya maumivu yao, usilazimishe kuwa sehemu ya furaha yao."
 
Maisha yana miiko, kanuni na desturi zake, ukiivunja nawe tarajia nayo ikuvunje huko mbele ya safari."
 
Tujifunze kuvumilia watu na machaguo yao ya maisha hata kama hayaleti maana akilini na machoni mwetu. Mengi ya machaguo yetu katika maisha ya leo ni fidia ya yale tuliyoyapania kuyafanya, au kuyamiliki huko nyuma ambayo hatukuweza kuyafanikisha kwa kuwa hatukuwa na uwezo nayo.”

Back
Top Bottom