Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuweka akiba ya maneno ni pamoja na kukwepa kutumia maneno yenye kuhitimisha kama 'kamwe', 'asilani', 'daima', 'kila mtu' au 'wote'. Penda kutumia 'labda', 'pengine', 'huenda', 'kwa kiasi kikubwa' haya yatakupa fursa ya kujinasua mbeleni"