Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Watu huja kwenye maisha yetu na kuondoka katika maisha yetu kwa wakati sahihi kabisa. Ni sisi ndio tunaojaribu kuwachelewesha kuingia hadi tuwe katika hali ya kukata tamaa ama tunawachelewesha kutoka mpaka watuumize,kutudhuru na kutujeruhi nafsi. Maamuzi yetu ndio maumivu yetu!