Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wema unaigizika,utu hauigizwi. Si kila mtenda wema hadharani anafanya hivyo sababu ana utu.Mtu anaweza kuonyesha wema kwa wale ambao ana maslahi nao na kuwapenda lakini akawa katili dhidi ya wale asio na maslahi nao.Ndio kusema,utu ni mbeleko ya wema,ila wema si mbeleko ya utu."
 
Furaha na raha si lazima viende pamoja. Unaweza kuwa na kimoja ukakosa kingine. Na wakati mwingine unalazimika kukosa kimoja ili upate kingine. Wenye furaha wana amani, si lazima wawe na raha
 
Ukiwa unashangilia ushindi wako wowote kwenye maisha hakikisha unashangilia kwa kiasi bila kudhuru utu wa waliokuzunguka. Shangilia kwa kuweka akiba ukitambua kuwa siku nyingine nawe unaweza kuwa upande wa kisogoni mwa ushindi.
 
Ukiwa unashangilia ushindi wako wowote kwenye maisha hakikisha unashangilia kwa kiasi bila kudhuru utu wa waliokuzunguka. Shangilia kwa kuweka akiba ukitambua kuwa siku nyingine nawe unaweza kuwa upande wa kisogoni mwa ushindi..
 
Kuweka akiba ya maneno ni pamoja na kukwepa kutumia maneno yenye kuhitimisha kama 'kamwe', 'asilani', 'daima', 'kila mtu' au 'wote'. Penda kutumia 'labda', 'pengine', 'huenda', 'kwa kiasi kikubwa' haya yatakupa fursa ya kujinasua mbeleni"
 
Back
Top Bottom