Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kujishusha si gharama, wala hakumaanishi kuwa thamani yako imepungua; bali hung’arisha kiwango chako cha ustaarabu kwa wengine na kupunguza mashindano. Upigapo hatua yoyote, usijikweze, usiwatupe watu, endelea kuwa na staha na heshima kwa wote.