Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Furaha hutokana pamoja na mambo mengine kukubali hali zetu, kufurahia tofauti zetu na kushukuru Mungu kwa majaliwa yetu."
YapBinadamu hupigania 'maana' na huwa tayari kufia 'maana'. Sababu 'maana' huwapa utambulisho, kusudio na matumaini. Wakiipoteza 'maana', watapoteana na hatimaye 'watapotea'. Epuka sana kuwanyang'anya watu 'maana' au kukanyaga 'maana' zao