Maisha ni magumu siku zote, wakati wote na kwa watu wote. Unayoyaona mepesi kwenye maisha yako ni magumu kwenye maisha ya wenzako. Magumu yako pia mepesi kwa wenzako. Tunachotofautiana ni uwezo wetu wa kukabiliana nayo. Lililokuelemea wewe, wenzako ndio wanaliegamia!"